• 9 years ago
Cheche sio mkuu wa studio tena na mmiliki mwenza Shalima, binti wa marehemu Habibu mpiga picha maarufu, anaamua kuifanyia marekebisho studio. Sio aina ya wanawake ambao Cheche anaitaji, anakimbilia kwa Tula kipenzi cha zamani lakini anaona Tula hana ushirikiano. Nyumbani kwa Kizito mahusiano yanazidi kua mabaya Nusura anamtwisha Kizito mzigo “Nipe taraka kama huja penda” Kizito hana jibu kwa wakati huo. Mke wake wa pili Mwanaidi anajiweka mbali, Farida anataka kuirudisha ndoa yake kitandani lakini inashindikana anakimbilia kwa waganga wa kienyeji. Duma hamtunzi mdogo ake Stephen, ambae anajaribu kujenga urafiki na marafiki wabaya Jengo na Salim, lakini wanajiingiza matatizoni kwa kikundi cha mtaani cha Max.\r
\r
SUBSCRIBE:

Category

📺
TV

Recommended