SUBSCRIBE: \r
\r
Jopo la warembo wanaingia ndani ya studio za Mtungi, bishara mpya ya urembo inayo milikiwa na Sharima. Cheche inabidi atulize tamaa zake baada ya mrembo mwenye kuvutia Rukia anajitegesha uchi mbele yake kwa ajili ya kupigwa picha za uchi kwa ajili ya matangazo.\r
Mwanaume huyu atafanyaje? Anahitaji tulizo la mihemko na hamu ya mapenzi lakini Tula alishamwambia mapenzi yao yamefika mwisho na wabaki kua marafiki tu. Dafu nae hana huruma kwa jambo hili na ana mpango wa kutulia na mpenzi wake Gladys na kumpa kile alicho kua anakitaka.\r
Duma na maisha yake ya starehe yanazidi na kupambana na mapenzi yake kwa Rose yanaopungua. Anachanganyikiwa zaidi baada ya polisi kukagua chumba cha Rose na kushikilia gari lake.\r
Kwenye makazi ya Mzee Kizito watoto wananyanyaswa, Sabrina binti mwenye miaka kumi na sita anandoto za kua huru na kupendwa na mtu. Na faridi anaugua vibaya sana.

Category
📺
TV