"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!
Yaliyopendekezwa:
https://sw.kingdomsalvation.org/videos/stay-out-of-my-business-movie.html
Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu. Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Bwana Yesu amerudi kufanya kazi na kuongea. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini vilevile wanaitumia Biblia kuishutumu kazi ya Mungu, na vilevile kumshutumu Mungu kama mtu wa kawaida. Wanafanya kila wawezalo kuwakatiza waumini kuikubali njia ya ukweli. Inashangaza kwamba, historia hujirudia.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Category
🎥
Short film