• 7 years ago
Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako.
Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme.
Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari,
tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.
Neno Lako hutuongoza na sisi kukufuata kwa karibu.
Ni neema ya Mungu kwamba tabia yetu ya kishetani imetupiliwa mbali.
Sisi hufurahia neno la Mungu na kuishi maisha mapya mbele Zake.
Kutunza moyo wa Mungu, kumpenda Yeye kwa dhati, kumshukuru na kumsifu.
La la la la la ... la la la la la ...

II
Kumini kwamba neno la Mungu ni ukweli na linaweza kutupa maisha.
Sisi hufanya ushirika kuhusu neno la Mungu na kuuelewa ukweli, na Roho Mtakatifu Akifanya kazi juu yetu.
Twajimimina mbali sisi wenyewe, kuwa sahili na wazi, na kufanya mazoezi ya kuwa mtu mwaminifu.
Ukweli hutufanya kuwa walioachiliwa na huru, ukijaza moyo wetu na furaha.
Maisha yetu ya kanisa yanapendeza sana, na watakatifu wote wamekuwa hai.
Sisi hufanya ushirika juu ya ukweli na kusaidiana, na maisha yetu hukua kwa kasi.
Kukubali hukumu, kutenda ukweli, na kuishi katika neno la Mungu.
Ishi kwa kudhihirisha uhalisi wa ukweli kutosheleza moyo wa Mungu.
La la la la la ... la la la la la …

III
Sisi ndugu huratibu kwa mpangilio na sote tuna furaha.
Sisi huwasilishiana maneno ya Mungu na kushiriki matukio, tukitekeleza majukumu yetu kwa uratibu.
Kutii kweli, kuingia uhalisi na kumfanya Mungu aridhike.
Kuishi katika upendo wa Mungu, sisi humsifu Mungu milele.
La la la la la ... la la la la la ...

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umemewa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Category

🎵
Music

Recommended