• last year
Waziri Wa Misitu Na Maswala Ya Mazingira Soipan Tuya Ametaja Kwamba Itawaajiri Maafisa Wapatao 3000 Kulinda Misitu Nchini Dhidi Ya Moto. Akizungumza Hii Leo Waziri Tuya Alitaja Kwamba Uharibu Wa Misitu Unachangiwa Pakubwa Na Shughuli Za Kibinadamu Ambazo Si Halali Hivyo Kunahaja Ya Kuyachunga. Aliongeza Kwamba Msitu Wa Abadare Na Mau Yameathirika Sana Na Shughuli Za Ukataji Wa Miti.

Recommended