• 3 years ago
Mwili Wa Mwanafunzi Wakidato Cha Kwanza Shule Ya Ngamwa Mukuru-Ini Aliyepotea Wiki Tatu Zilizopita Umepatikana Ndani Ya Gunia.Margret Waithera Huenda Alibakwa Kabla Ya Kukutana Na Mauaji Yake .Na Sasa Polisi Wametaja Kuwa Wapo Na Jumbe Za Kuwakamata Waliohusika Na Mauaji Na Washukiwa Watakamatwa Hivi Karibuni..

Recommended