• 7 years ago
Huenda kivumbi kikatifuliwa bungeni siku ya Ijumaa wakati wa kujadiliwa kwa mapendekezo ya rais Uhuru Kenyatta kuhusiana na ushuru wa asilimia 16 aliyopendekeza kupunguzwa hadi aslimia nane

Imedaiwa kuwa kuna kimya chenye mshindo katika kambi ya Jubilee ya iwapo wajumbe watapitisha mapendekzo haya huku kiongozi wa walio wachache bungeni John Mbadi akishikilia kuwa kikao cha wana-nasa kinatathmini kweli iwapo muungano huo utaunga mkono mapendekezo ya rais

Recommended