Wachimba Migodi Wawili Waliookolewa Asubuhi Ya Leo Baada Ya Siku Sita Chini Ya Ardhi Wameeleza Waliyoyapitia Katika Meno Ya Mauti. Hii Ni Baada Ya Wachimba Migodi Watatu Kuokolewa Mwendo Wa Saa 2 Asubuhi Na Kufukisha Jumla Ya Wachimbaji Waliookolewa Kuwa 6.Hata Hivyo Mmoja Ameripotiwa Kufariki Huku Shughuli Ya Kuwaokoa Wengine Ikiendelea
Category
🗞
News