• 7 years ago
Pamoja na kwamba mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba Vs Yanga uliopigwa Septemba 30, 2018, ulimalizika kwa suluhu, vijana wa Msimbazi walipata nafasi 7 za kipekee ambazo huenda zingezaa bao ama mabao.

Category

🥇
Sports

Recommended